Watu 11 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 13 ya uhujumu uchumi, yakiwemo kuongoza genge la uhalifu, kuingilia mifumo ya kibenki na kutakatisha fedha zinazozidi Sh1.4 bilioni.

Back to Home
11 kortini kwa tuhuma za kutakatisha Sh1.4 bilioni
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
