Mwili wa mwanaume huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35, ulikutwa ukiwa chini ya transfoma ya umeme ambapo katika eneo hilo vilikutwa vifaa mbalimbali vinavyojumuisha spana nne, plaizi moja na glovu moja.

Back to Home
Afariki dunia akidaiwa kuiba nyaya kwenye transfoma
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
