Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa nchini (ALAT), imelaani mauaji ya Diwani wa Kata ya Misechele, Zuberi Binamu na watu wengine wawili wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, huku Jeshi la Polisi likisema limewakamata watuhumiwa 15 wanaohusishwa na matukio hayo.

Back to Home
ALAT yalaani mauaji yaliyotokea Tunduru
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
