Loading trending stories…
Alichokisema Dk Kahyoza kesi ya kumshambulia trafiki
Back to Home

Alichokisema Dk Kahyoza kesi ya kumshambulia trafiki

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Shahidi wa nne wa Jamhuri katika kesi ya shambulio la mwili inayomkabili daktari bingwa wa magonjwa ya ndani wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)–Mloganzila, Conrad Kahyoza, ameieleza Mahakama kuwa mshtakiwa huyo alimweleza hajui kilichomsukuma kumshambulia askari wa Usalama Barabarani (Trafiki).

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.