Mahakama ya Rufani nchini imemwachia huru Michael Thomas aliyekuwa amehukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya mkewe, Maria Raymond, baada ya kubaini kuwa ushahidi uliotumika kumtia hatiani haukuthibitisha bila shaka ya msingi kuwa ndiye aliyemuua.

Back to Home
Aliyehukumiwa kifo kwa kumuua mkewe aachiwa huru
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
