Mahakama ya Rufani imemwachia huru Khadija Shaaban Ali, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 20 baada ya kukutwa na hatia ya kosa la kujaribu kumuua mke mwenza, Maimuna Said Suleiman, kwa kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kutumia kisu.

Back to Home
Aliyehukumiwa kwa kujaribu kumuua mke mwenza aachiwa
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
