Mahakama ya jinai nchini Syria imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kifo akiwa hayupo mahakamani, baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinadamu, mauaji ya kukusudia na mateso.

Back to Home
Aliyekuwa Rais wa Syria ahukumiwa kifo
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
