Wakati waombolezaji wakikusanyika kuuaga mwili wa Wakili Alute Mughwai, ujumbe wa kusimamia haki, kutenda kwa uadilifu na kutowadhulumu wengine umetolewa, huku familia ikiombewa kupata faraja kufuatia kifo chake na kutokuwepo kwa ndugu yake, Tundu Lissu, katika maziko.

Back to Home
Alute aagwa kwa ujumbe wa haki, Padri amwombea Lissu
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
