Loading trending stories…
Angola yashukuru kupewa eneo Mtumba kujenga ubalozi
Back to Home

Angola yashukuru kupewa eneo Mtumba kujenga ubalozi

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Rais wa Angola, Joao Lourenco, ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuipatia nchi yake eneo katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma, kwa ajili ya kujenga ubalozi mdogo, akisema hatua hiyo ni ishara ya urafiki na itaimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.