Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari 13 wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa), Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) na mgambo kwa tuhuma za kuhusika na vifo vya watu wanne waliokuwa wakisafirisha mkaa kwa pikipiki katika eneo la Kanyamika, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera.

Back to Home
Askari 13 wakamatwa kwa tuhuma za vifo vya watu wanne Kagera
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
