Vijana 61 kutoka nchi 17 za Afrika wamehitimu mafunzo ya majadiliano ya kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Lengo likiwa kuongeza ushawishi wa vijana wa Afrika katika maamuzi yanayohusu mustakabali wa bara hilo.

Back to Home
Azimio la Dar lasisitiza ushawishi wa vijana kwenye mabadiliko ya tabianchi
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
