Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Amran Burhan, mkazi wa Mtaa wa Kilimani,Kata ya Pasua Manispaa ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kumjeruhi kichwani mtoto wake wa miaka 14 kwa kutumia kitu chenye ncha kali.

Back to Home
Baba mbaroni tuhuma za kumjeruhi mwanaye kichwani
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
