Loading trending stories…
Baba, mpwa wake waagwa kwa utaratibu wa kipekee
Back to Home

Baba, mpwa wake waagwa kwa utaratibu wa kipekee

Mwananchi about 1 hour 1 mins read
Miili ya Humphrey Msoka (66) na mpwa wake, Dickson Msoka (24), imewasili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kibwegere Adonai, kwa ajili ya ibada ya kuwaaga kabla ya kuzikwa katika Makaburi ya Kibwegere, Dar es Salaam.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.