Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amewaongoza waombolezaji katika mazishi ya Deusdedit Wambura, baba mzazi wa Mkuu wa Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura, huku akiwataka washerehekee maisha yake kwani alikuwa amefikisha umri wa miaka 100.

Back to Home
Baba wa IGP Wambura azikwa Musoma, familia yatakiwa kusherehekea
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
