Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria.

Back to Home
Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
