Loading trending stories…
Betri 40 za MRI, X Ray zaibwa, RC Mtanda awapa saa 24 polisi kuwakamata wahusika
Back to Home

Betri 40 za MRI, X Ray zaibwa, RC Mtanda awapa saa 24 polisi kuwakamata wahusika

Mwananchi about 2 hours 1 mins read
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Said Mtanda ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwakamata ndani ya saa 24 wote waliohusika na wizi wa betri 40 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, huku akiwataka walioziiba kuzirejesha mara moja.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.