Abiria 23 waliokuwa wakisafiri kwa boti kutoka upande mmoja kwenda upande wa mashambani wamekumbwa na ajali hiyo iliyohusishwa na chombo hicho kuzidiwa uzito.

Back to Home
Boti yazidiwa uzito Rufiji, watatu wafariki dunia wengine 18 wakiokolewa
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
