Loading trending stories…
Bwawa la Mkomazi kufungua neema kwa wakulima 20,000 Korogwe
Back to Home

Bwawa la Mkomazi kufungua neema kwa wakulima 20,000 Korogwe

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Zaidi ya wananchi 20,000 kutoka kata saba na vijiji 28 vya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Bwawa la Mkomazi, litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji mita za ujazo milioni 37.5.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.