Loading trending stories…
CCM Tanga kugawa matrekta 40 kusaidia wakulima
Back to Home

CCM Tanga kugawa matrekta 40 kusaidia wakulima

Mwananchi about 4 hours 1 mins read
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kinatarajia kugawa matrekta 40 katika wilaya mbalimbali za mkoa huo kwa ajili ya kuwasaidia wakulima kulima mashamba yao kwa gharama nafuu. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, amesema matrekta hayo yatatoa huduma ya kulimia wakulima watakaohitaji, ambao watachangia gharama za mafuta yatakayotumika katika shughuli hiyo.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.