Loading trending stories…
Chadema, Magereza zatofautiana kuhusu mgomo wa kula kwa Lissu
Back to Home

Chadema, Magereza zatofautiana kuhusu mgomo wa kula kwa Lissu

Mwananchi 11 minutes 1 mins read
Taarifa zinazokinzana kuhusu hali ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, zimeibuka baada ya chama hicho kudai ameanza mgomo wa kula akiwa mahabusu, huku Jeshi la Magereza likikanusha na kusema yupo salama na mawakili wake wanaruhusiwa kumtembelea kwa mujibu wa taratibu.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.