Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kuwa kinapitia mashambulizi kutoka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ili kipoteze mwelekeo wa ajenda ya kuwatetea maslahi ya Watanzania.

Back to Home
Chadema yadai kushambuliwa na Polisi, Msajili
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
