Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata ushindi Mahakama Kuu baada ya kutupwa kwa shauri dogo la maombi ya zuio lililolenga kukizuia kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama hadi kesi ya msingi kuhusu mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali ndani itakapoamuliwa.

Back to Home
Chadema yashinda mahakamani, yaendelea kudai Sh500 milioni za ruzuku
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
