Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema majengo chakavu katika eneo la Ilala Kota, Kata ya Mchikichini, yanapaswa kuondolewa na eneo hilo kupangwa upya ili kujenga miundombinu ya kisasa inayoendana na ukuaji wa jiji.

Back to Home
Chalamila ataka Ilala Kota ipangwe upya
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
