Tanzania na China zinatarajia kuongeza ushirikiano katika usimamizi na uendeshaji wa mashirika ya umma, hatua inayolenga kusaidia Serikali kuongeza thamani ya mali zake, kuboresha utendaji na kuongeza mchango wa taasisi hizo katika uchumi.

Back to Home
China kuisaidia Tanzania usimamizi mashirika ya umma
Mwananchi about 5 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
