Televisheni ya Kimataifa ya Marekani (CNN), imetishia kuchukua hatua zaidi za kisheria dhidi ya utawala wa Rais Donald Trump iwapo utaendelea kuwazuia waandishi wake wa habari kusafiri na rais kwa ndege ya Air Force One, hatua inayozua mjadala mpya kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini humo.

Back to Home
CNN yapinga waandishi wake kuzuiwa kwenye ndege ya Rais Air Force One
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
