Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira wa Wizara ya Kilimo, Mwanaisha Tumbo, amesisitiza umuhimu wa kuhifadhi mazingira katika shughuli za kilimo, akiwataka wadau kuzingatia matumizi ya mbegu bora, pembejeo zinazofaa na uzalishaji endelevu.

Back to Home
COPRA yasukuma kilimo endelevu kuhifadhi mazingira
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
