Benki ya CRDB imesaini mikataba ya ufadhili yenye thamani ya dola milioni 111 za Marekani, sawa na Sh289.3 bilioni, katika kongamano la uwekezaji lililofanyika Bangkok, Thailand, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa biashara na uwekezaji katika sekta ya makazi.

Back to Home
CRDB yasaini mikataba ya Sh289 bilioni kuvutia mitaji ya kimataifa
Mwananchi 10 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
