Huduma za usafiri wa daladala katika Manispaa ya Morogoro zimeanza kurejea baada ya madereva kusitisha mgomo wa siku mbili uliosababishwa na kutoridhishwa na eneo waliloelekezwa kupakia abiria na madai ya bajaji kuingilia njia zao.

Back to Home
Daladala Moro zakubali kurejea barabarani, Serikali ikitoa ahadi
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
