Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Saimon Simalenga, akiambatana na askari wa Jeshi la Polisi, amevunja sherehe ya kupokea mahari ya mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa akitarajiwa kuolewa kwa mahari ya ng’ombe 16 katika Kijiji cha Igaganulwa, Kata ya Dutwa, wilayani humo.

Back to Home
DC avunja sherehe ya mahari ya mwanafunzi Bariadi
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
