Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vicent Anney, amewataka wataalamu wa kilimo kuacha kutegemea posho ili kutekeleza majukumu yao, akisema utendaji huo unaweza kukwamisha juhudi za kuongeza uzalishaji wa pamba na kuboresha maisha ya wakulima.

Back to Home
DC Maswa: Msisubiri posho kuwahudumia wakulima
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
