Loading trending stories…
DC Newala aagiza kutatuliwa changamoto ya maji wodi ya wazazi
Back to Home

DC Newala aagiza kutatuliwa changamoto ya maji wodi ya wazazi

Mwananchi about 3 hours 1 mins read
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mussa Sima ameuagiza uongozi wa hospitali ya wilaya hiyo kuhakikisha unatatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika wodi ya wazazi na watoto, akieleza kuwa hali hiyo inaweza kuathiri mazingira ya utoaji wa huduma za afya, usafi na usalama wa wagonjwa.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.