Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo amesema utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 unapaswa kupimwa kwa mabadiliko halisi katika maisha ya wananchi, akisema ufuatiliaji na tathmini havipaswi kuishia katika kuhesabu miradi, fedha zilizotumika au shughuli zilizotekelezwa.

Back to Home
'Dira 2050 ipimwe kwa mabadiliko ya maisha ya wananchi'
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
