Matumizi ya tafiti za kisayansi na teknolojia katika sekta ya mifugo yanaweza kuwasaidia wafugaji kupunguza gharama za uzalishaji, kuboresha afya ya mifugo na kuongeza uzalishaji wa maziwa na nyama, imeelezwa.

Back to Home
Dk Bashiru ataka tafiti, teknolojia kupunguza gharama za ufugaji
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
