Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewaagiza watumishi wa sekta ya afya kuhakikisha wagonjwa wanapata matibabu kwa wakati, akisisitiza kuwa hakuna sababu ya wagonjwa wa dharura, wakiwamo wajawazito na majeruhi wa ajali, kucheleweshewa huduma kutokana na uzembe wa watumishi.

Back to Home
Dk Mwigulu aagiza wagonjwa wahudumiwe kwa wakati
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
