Serikali imesema mipango ya kuwawezesha vijana kiuchumi haiwalengi wasomi pekee, bali kila kijana mwenye sifa, mawazo na nia ya kufanya kazi anafikiwa na kusaidiwa ili aweze kujitegemea.

Back to Home
Dk Nanauka: Serikali kuwafikia vijana wote bila kujali elimu
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
