Mgombea wa Ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chamwino, Dk Netho Ndilito ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo jimboni humo, akiwaacha washindani wenzake 15 kwa kura nyingi.

Back to Home
Dk Ndilito ashinda uchaguzi Chamwino, akimrithi Ndejembi
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
