Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa) imeeleza kuwa jiji hilo linakabiliwa na upungufu wa lita milioni 68 za maji kwa siku, hali inayosababisha baadhi ya wakazi kuendelea kupata huduma hiyo kwa mgao.

Back to Home
Dodoma yakabiliwa na upungufu wa maji lita milioni 68 kwa siku
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
