Kiongozi wa chama cha Democracy for the Citizens (DCP), Rigathi Gachagua amerejea nchini Kenya kimyakimya leo Jumanne baada ya kukaa karibu miezi miwili nchini Marekani, akiepuka vurugu zilizotawala kurejea kwake mara ya mwisho, lakini akijikuta katikati ya mvutano wa kisiasa kuhusu mkakati wa upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Back to Home
Gachagua arejea Kenya kimya kimya, akutana na Sifuna
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
