Ghala jipya la Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Kagera lililopo Chato, mkoani Geita, linatarajiwa kuongeza uwezo wa kuhifadhi na kusambaza dawa na bidhaa za afya, pamoja na kupanua wigo wa huduma kutoka halmashauri 11 hadi 17.

Back to Home
Ghala la MSD Chato litakavyopanua huduma halmashauri 17
Mwananchi about 3 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
