Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri vipindi vya mvua vinavyoambatana na ngurumo za radi katika baadhi ya maeneo ya Kanda ya Ziwa na magharibi mwa nchi, huku maeneo ya Pwani ya Kaskazini yakitarajiwa kupata mvua zaidi katika siku tano za mwanzo za Novemba.

Back to Home
Hali ya hewa itakavyokuwa kwa siku 10
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
