Haijaisha mpaka iishe, ndivyo ilivyotokea kwa Rukia Mohamed ambaye ameachiwa huru baada ya miaka 12 akipigania haki yake ya kuwa huru, baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha mara mbili na Mahakama Kuu.

Back to Home
Heroin ilivyomweka mahabusu miaka 12, Jopo la majaji lamwachia huru
Mwananchi about 4 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
