Loading trending stories…
HESLB ilivyopunguza muda kutoa mikopo hadi siku mbili
Back to Home

HESLB ilivyopunguza muda kutoa mikopo hadi siku mbili

Mwananchi 31 minutes 1 mins read
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepunguza muda wa utoaji fedha za mikopo kwa wanafunzi kutoka mwezi mmoja hadi siku mbili, huku ikipanga kuunganisha mifumo yake na ya taasisi nyingine za Serikali ili kuongeza kasi ya huduma hiyo.

This article was sourced from an external publication.

Share this article
OneClick Africa Logo

Africa's premier digital hub for impactful news, entertainment, and business insights.

© 2026 OneClick Africa. All rights reserved.