Kuna jambo linalomfikirisha sana Mstaafu wetu tangu alipofikisha miaka 60 na sheria kumtaka achape yebo na aachie ngazi maana mchuma ulikuwa unaondoka na ajira yake aliyotumikia kwa miaka 40 ilikuwa ikihitaji vijana waliotoka vyuoni.

Back to Home
Hivi ni nani anayehusika na masuala ya wastaafu?
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
