Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru imeanzisha huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani, ikiwemo tiba kemikali (chemotherapy) hatua inayolenga kupunguza safari za wagonjwa wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini kwenda Hospitali ya Taifa kutafuta huduma hizo.

Back to Home
Hospitali ya Mount Meru yaanzisha huduma za saratani
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
