Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeripoti kuchomwa kwa nguzo za umeme na kuibiwa kwa transfoma katika mikoa ya Njombe na Iringa, likionya kuwa vitendo hivyo vinasababisha kukatika kwa huduma na hasara kwa shirika hilo.

Back to Home
Iringa, Njombe waonywa miundombinu ya umeme kuibwa, kuchomwa moto
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
