Serikali ya Japan imekabidhi magari 16 ya doria kwa nchi nane wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa lengo la kuimarisha usalama mipakani, kupambana na uhalifu wa kuvuka mipaka na kurahisisha biashara halali.

Back to Home
Japan yakabidhi magari 16 ya doria kwa nchi za EAC
Mwananchi 21 minutes 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
