Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linaendelea kuwatafuta watu wengine wanaodaiwa kuhusika na wizi wa betri 40 za mashine ya CT Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo, likisema halitataja majina ya waliokamatwa kwa sasa ili kutoharibu mwenendo wa upelelezi.

Back to Home
Jeshi la Polisi lawasaka watuhumiwa wengine wizi wa betri za CT Scan
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
