Katika kitongoji cha Kwaanjili, Kijiji cha Mbambua, Kata ya Lembeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, lipo jiwe kubwa lenye pango lililotumika miaka ya 1800's kama maficho ya mifugo ya Wapare dhidi ya wavamizi waliokuwa wakitaka kuiba mifugo yao.

Back to Home
Jiwe la kihistoria lililotumika kuficha ng’ombe za Wapare dhidi ya wavamizi wa mifugo
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
