Serikali ya Gambia imethibitisha kupokea zaidi ya Dola za Marekani milioni 2.57, sawa na takribani Sh6.79 bilioni, zilizotokana na kuuzwa kwa jumba la kifahari lililokuwa linamilikiwa na rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, nchini Marekani.

Back to Home
Jumba la kifahari la Jammeh nchini Marekani lapigwa mnada
Mwananchi about 1 hour 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
