Jumuiya za kiraia nchini zimefikia maazimio manane yanayolenga kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, kudumisha amani, kukabiliana na mmomonyoko wa maadili na kutumia fursa za kiuchumi kujitegemea, huku Serikali ikitakiwa kuendelea kusimamia utangamano wa kidini.

Back to Home
Jumuiya za kiraia zafikia maazimio manane kuimarisha umoja na amani
Mwananchi about 2 hours 1 mins read
This article was sourced from an external publication.
Share this article
